Tuesday, April 8, 2014

CHELSEA HONGERA KWA KUIFUNGA PSG

Chelsea hongereni sana kwa kuwafunga mabingwa wa ufaransa PSG Kwani mmeonyesha uzalendo wa ukwely na uwezo binafsi ongera special one

Sunday, April 6, 2014

JELA KWA KUMKATAKATA MKEWE KWA PANGA

Bwana Haridi mussa 38 amehukumiwa kuenda jela miezi 6 kwa kosa la kumkata vidole vya mikono mkewe mwajuma iddi huko kijiji Wilayani Nkasi mwambao W.TANGANXIKA

Thursday, April 3, 2014

BAJAJI BODABODA MARUFUKU KUBEBA MTOTO MIAKA 9

Mamlaka ya usafiri nchi kavu na majini imepiga marufuku bajaji na bodaboda kubeba watoto wadogo kuanzia miaka 9 kwani ni hatari kwa afya yao

Friday, March 28, 2014

JK WATAKAO VULUGA BUNGE LA KATIBA ITATUMIKA YA ZAMANI.TU

Baada ya vulugu kuwa nyingi bungeni mh Rais Jakaya kikwete amesema watakao sababisha bunge kufungwa itabidi katiba isiwepo kabisa baada ya kuona vulugu haziishi

Sunday, March 23, 2014

KHAMIS KIGWANGALA ANUSURIKA KUFA KWA RISASI.

Mbunge wa jimbo la nzega tabora amenusurika kufa kwa kukoswa na risasi iliyopigwa na polisi na kupiga mwingine kwenye paji la uso kutoka kwenye mtaandao wake

Friday, March 21, 2014

MBUNGE AANGUSHA CHOZI HADHALANI

Mbunge wa simanjiri mh GEMBE SUGU ameangusha choozi hadharani kisa kuona wabunge wengi wanaunga mkono suala la kura za siri kwenye katiba mpya.